Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuhh una business nnWakuu link ya kupata like nying fb naombeni basi
Oyaa mzee baba kupata namba ya USA me inazngua
Niambie we unapoanza kujiunga na virtualsim unafanyaje maana ukijiunga kupitia namba yako tu na Email huwezi kupata namba ukitaka kupata namba za u.s.a lazima unapojiunga na hiyo virtualsim uiunganishe na account yako ya Facebook utaona chini kabisa Kuna maandishi ya blue ndo ukibofya hapo ukienda setting ya virtualsim utaona sehemu imeandikwa my phone number utaikuta hapo tena utakuta namba mbili moja yakwako moja nyingine ya USA ndo uachukua iyo mkuuOyaa mzee baba kupata namba ya USA me inazngua
M nackia uki root cm aidumu xanaNaomba kufaham kama kuna uwezekano wa kutumia rosemary font kwnye tecno j8 bila kuroot simu? Maana nimejarbu kuroot kwa kila njia imenigomea.
kwenye memory cardIv uki back up file zinajisave wapi
hakuna ukweli katika hiloM nackia uki root cm aidumu xana
kumbuka kingroot haipo playstoreJaman msaada nataka kuroot simu langu,
Nimetembelea uzi wa kuroot, ila sasa nataka kudowload kingroot zinakuja nyingi sijui ipi ni ipi?
Anayejua aniweeke na kapicha ili niijue hiyo kingroot.
Naomba link ya kuodlowoad hii kitu mkuu.. nilikuwaga nayo kwenye simu ya zamani lkn simu yangu hii ya sasa haina....Kuna apps nyingine inaitwa videorder matata sana
Mkuu mbona mm hio avast najaribu kijiregister iNagoma,? Au ukishaipakua tu ndo mchezo unakuwa umeisha,?Kwa Upande Wa Security Avast Kwangu Ni Bora, Inakuwezesha Kuipata Simu Kma Imeibiwa Au Kupotea Kwa Kutumia App Yake Ya Anti- Theft. Ina Automatic Scan Unaset Kila Siku Muda Flan Inascan Simu Na Kukupa Repot Kma Kuna Tatizo/App Inayoweza Iathiri Simu Inakwambia. Kwa Upande Wa Music Kuna Music match Hii Inakuwezesha Kuplay Music Huku Ikidisplay Lycis Za Nyimbo Unayoplay, Pia Ina Music ID Inayokuwezesha Kuitambua Nyimbo Usiyoijua Ila Unaisikia May Be Unaitaka Labda Inapgwa Radion Ila Aujui Kaimba Nani Na Unaipenda Unaweka Music I'd Inakwambia Jina La Wimbo Na Muimbaj Hapo Hapo Inakupa Options Ya Kuudownload Huo Wimbo. Ina Option Ya Kucreat Card Via Lycis Inayodisplay Pindi Unapoplay Music. Kuna Tunein Radio Inakuwezesha Kusikiliza Radio Maeneo Ambayo Radio Ya Kawaida Aikamati Inazo Local Radio Zotee Pia Ina Radio Za Nje Kibao Na Zinazopga Miziki Ya Taratibu Ya Zamani Kuanzia Miaka Ya 80 Kuja Juu. Kuna App Nyingi Nzur Sanaa.
Umedownload Avast Nini? Mobile Security Au Anti Theft??Mkuu mbona mm hio avast najaribu kijiregister iNagoma,? Au ukishaipakua tu ndo mchezo unakuwa umeisha,?
Halafu inalitetea habari za kulipia kila mwisho wa mwezi au kwa mwaka,,,! Hebu tupe utaratibu mkuu,,,!
Cc erickjr
Umedownload Avast Nini? Mobile Security Au Anti Theft??Mkuu mbona mm hio avast najaribu kijiregister iNagoma,? Au ukishaipakua tu ndo mchezo unakuwa umeisha,?
Halafu inalitetea habari za kulipia kila mwisho wa mwezi au kwa mwaka,,,! Hebu tupe utaratibu mkuu,,,!
Cc erickjr
Hizo hapo picha mkuu ndio hio au nipo wrong,??Umedownload Avast Nini? Mobile Security Au Anti Theft??
Ndio Yenywe Kuna Free Na Ya Kulipia Alafu Kuna kuna Antitheft Na Hiyo Uliodownload Anti Theft Na Hiyo Ni App Mbil Tofaut. Na Sijajua Ww Unaihitaji IPI?Hizo hapo picha mkuu ndio hio au nipo wrong,??
Kma Ni Setting Kwa Hii Mobile Security, Bonyeza Hapo Left Kweny Hiyo Mistar. Hii Ni Mobile Security Na Sio Anti Theft.