Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Kuna browser inaitwa puffin. Ni nzuri sana ipo fasta na pia ina built in plug in kwa wale wanaoingia website zinazohitaji flash player ku-play, hii app itakusaidia ina stream video bila shida.
 
[emoji109] [emoji16]
 
App gan nzuri ya ku download music?
audio na maanisha
 
msaada..... natumia tecno J8,,,nikikomandi storage kwenye memory card lakin kila nikidowload files zinaingia kwenye phone storage,,, nakosea wap??
 
msaada..... natumia tecno J8,,,nikikomandi storage kwenye memory card lakin kila nikidowload files zinaingia kwenye phone storage,,, nakosea wap??
Nijuavyo sio app zote zinaweza kukaa kwenye memory labda utumie app moja hivi ndo inaweza kuhamisha kutoka kwenye phone mpaka memory. Hata lucky patcher nadhani inaweza kusaidia
 
Wakuu msaada wenu tafadhari nimedownload supersu ila luck patcher haimove app to sdcard inanipa msg hizi simu yangu tecno j8 niliiroot kwa kingroot
Mkuu uliwezaje kuroot hy simu yako maana mimi na j8 yang hp nashindwa ht niwezaje hebu nisaidie kidogo pakuanzia kaka
 
msaada..... natumia tecno J8,,,nikikomandi storage kwenye memory card lakin kila nikidowload files zinaingia kwenye phone storage,,, nakosea wap??
kwanza inatumia os version ngapi kama ni android 6 yaani mashmqllow nicheki nikuelekeze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…