Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Kuna browser inaitwa puffin. Ni nzuri sana ipo fasta na pia ina built in plug in kwa wale wanaoingia website zinazohitaji flash player ku-play, hii app itakusaidia ina stream video bila shida.
 
pitia hapa mimi binafsi imenisaidia
Junior Hamis, post: 19648984, member: 167548"]ngoja ninaribu kuelekeza japo kwa kifup.... hapa ki2 cha kwanza inabidi kutumia simu ya mhusika yaani (victim phone) ukishakuwa nayo ingia kwenye browser serch www.mobile-tracker-free.com
464a2e07aa82569419d55c13277e6b6f.jpg
baada ya hapo install hyo app... ingia setting, security then select unknown source ili kuruhusu installation of apk..... then
a441c9be02e6f2fd12bea99741f29292.jpg
... ukishamlza ku download
28e7f3a3ffce38908527509cf6e97fdb.jpg
aaf6a45445350d13d0ed8aced58635e4.jpg
9c5e20a2924439c2f4db6bdc04b67824.jpg
then create account by using email
eeac50a7478585cc7858b283b81a021d.jpg
baada ya ku create account italeta hapa
4124b5a6651a2efa2a2e427b365ae8b0.jpg
select unavyohtaji kama ni sms, photos, recorded call audio, location nakadhalika kwa wale ambao wana rooted devices unaweza select social networks pia kama Facebook na whatsapp and others
645f395c6b299464d5e4dd25dc241456.jpg
then log in
8c603094a36919fd532bda30c00ce1f4.jpg
weka tick kwenye to accept agreement the log in italeta hivi
91ef01377855d58cd78c4d94ca672f84.jpg
select then
873ead99137add397c7b2f96bac76514.jpg
select social networks for rooted phone the
389c6d09e5f91b5c5f1d71a5dbbaf67a.jpg
after pls wait itakubali hiv
d29beb13a481eeaf0aa92ea07bdc770e.jpg
theb baada ya hapo umemalza utakuwa una log in kwenye website www.mobile-tracker-free.com kwa kutumia device yoyote utakuta kila ki2 kama hivi
24104f421ac80835a405155b9a547ed9.jpg
then
5d0fba9448ecd203149cef1199fe8f8f.jpg
kama ni audio za call
4c5671386c179ea50eff237d78268c81.jpg
na vingine..... nawasilisha[emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji26] nb:do this at your own risk.... sihusiki na ndoa ya mtu...
[emoji109] [emoji16]
 
App gan nzuri ya ku download music?
audio na maanisha
 
msaada..... natumia tecno J8,,,nikikomandi storage kwenye memory card lakin kila nikidowload files zinaingia kwenye phone storage,,, nakosea wap??
 
msaada..... natumia tecno J8,,,nikikomandi storage kwenye memory card lakin kila nikidowload files zinaingia kwenye phone storage,,, nakosea wap??
Nijuavyo sio app zote zinaweza kukaa kwenye memory labda utumie app moja hivi ndo inaweza kuhamisha kutoka kwenye phone mpaka memory. Hata lucky patcher nadhani inaweza kusaidia
 
Wakuu msaada wenu tafadhari nimedownload supersu ila luck patcher haimove app to sdcard inanipa msg hizi simu yangu tecno j8 niliiroot kwa kingroot
1317049e496409c61589f6877d08eaa5.jpg
dfdd0b09ef76575c6cd16fe9e260e7e2.jpg
Mkuu uliwezaje kuroot hy simu yako maana mimi na j8 yang hp nashindwa ht niwezaje hebu nisaidie kidogo pakuanzia kaka
 
msaada..... natumia tecno J8,,,nikikomandi storage kwenye memory card lakin kila nikidowload files zinaingia kwenye phone storage,,, nakosea wap??
kwanza inatumia os version ngapi kama ni android 6 yaani mashmqllow nicheki nikuelekeze
 
Back
Top Bottom