Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji109] [emoji16]pitia hapa mimi binafsi imenisaidia
Junior Hamis, post: 19648984, member: 167548"]ngoja ninaribu kuelekeza japo kwa kifup.... hapa ki2 cha kwanza inabidi kutumia simu ya mhusika yaani (victim phone) ukishakuwa nayo ingia kwenye browser serch www.mobile-tracker-free.combaada ya hapo install hyo app... ingia setting, security then select unknown source ili kuruhusu installation of apk..... then
... ukishamlza ku download![]()
![]()
then create account by using email
baada ya ku create account italeta hapa
select unavyohtaji kama ni sms, photos, recorded call audio, location nakadhalika kwa wale ambao wana rooted devices unaweza select social networks pia kama Facebook na whatsapp and others
then log in
weka tick kwenye to accept agreement the log in italeta hivi
select then
select social networks for rooted phone the
after pls wait itakubali hiv
theb baada ya hapo umemalza utakuwa una log in kwenye website www.mobile-tracker-free.com kwa kutumia device yoyote utakuta kila ki2 kama hivi
then
kama ni audio za call
na vingine..... nawasilisha[emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji26] nb:do this at your own risk.... sihusiki na ndoa ya mtu...![]()
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji109]Ad blocker for Android AdClear
Download hii app itakusaidia
Ukishadownload weka on hapokwenye alama nyeupe na juu ya panel ya simu yako itajiweka notification ya kialama cha ufunguo hapo itakua on Enjoy![]()
hulkshareApp gan nzuri ya ku download music?
audio na maanisha
Haipo play storehulkshare
search kwenye browser hulkshare apkHaipo play store
Duuhh mkuu huu udukuzi uliotukuka[emoji109] [emoji16]
Nijuavyo sio app zote zinaweza kukaa kwenye memory labda utumie app moja hivi ndo inaweza kuhamisha kutoka kwenye phone mpaka memory. Hata lucky patcher nadhani inaweza kusaidiamsaada..... natumia tecno J8,,,nikikomandi storage kwenye memory card lakin kila nikidowload files zinaingia kwenye phone storage,,, nakosea wap??
Ndii nn hii mkuuDownload hapa
>>>LATEST GB WHATSAPP V5. 60
Siku nyingine ukitaka kuaupdate ingia hapa >>Missing Tricks - Free Recharge Tricks, Latest Loot Tricks
Asante sn mkuu hii kitu ni noma sn[emoji109] [emoji16]
Mkuu vp ukiroot simu huwez kupeteza data muhimu km picha video na no za simu
Mkuu uliwezaje kuroot hy simu yako maana mimi na j8 yang hp nashindwa ht niwezaje hebu nisaidie kidogo pakuanzia kakaWakuu msaada wenu tafadhari nimedownload supersu ila luck patcher haimove app to sdcard inanipa msg hizi simu yangu tecno j8 niliiroot kwa kingroot![]()
![]()
Jaribu kutumia kingoroot. Mimi nili root note 3 kwa kutumia kingoroot. Download kingoroot kwenye hii link kisha install. Ukisha install utaona sehemu pameandikwa root Bonyeza hapoMkuu uliwezaje kuroot hy simu yako maana mimi na j8 yang hp nashindwa ht niwezaje hebu nisaidie kidogo pakuanzia kaka
Angalia kama ulikosea proceduresMkuu uliwezaje kuroot hy simu yako maana mimi na j8 yang hp nashindwa ht niwezaje hebu nisaidie kidogo pakuanzia kaka
kwanza inatumia os version ngapi kama ni android 6 yaani mashmqllow nicheki nikuelekezemsaada..... natumia tecno J8,,,nikikomandi storage kwenye memory card lakin kila nikidowload files zinaingia kwenye phone storage,,, nakosea wap??