Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

ibonyeze hiyo app unayotaka kuifuta kwa muda kidogo then zitatokea option mbili uninstall na app info slide hiyo app yako kwenye uninstall itaanza kuauninstall then kafute na ile apk file kule kwenye folder then install hii app mpya.
Inatokea hvi baada ya kuibonyeza kwa mda ,,yaan haina option ya kufutia

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • Screenshot_20170817-083339.png
    189.4 KB · Views: 123
natumia ka jelly ben h5 ni rooted ila kapo slow sana nifanye nini ili kaongeze speed
 
tatizo lako wewe hujaelewa hiyo app ulodownload imekaa wapi, ikiwa huhaisubiria imalize kudownload kisha wanakwambia" open"
cha kufanya sasa. nenda kwenye file managermet, ingia kwenye apps file. utazikuta ulizodownload from unknown source, kisha bonyeza hiyo app unayoitaka, utaambawa install, bonyeza install,kuwa mvumilivu wa dakika chake tu. itamaliza kuinstal na utaambiwa open.
unakuwa umemaliza kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…