Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tuwe tunaweka na link jamani inaweza kuelekezwa ukienda kutafuta u azikuta nying unashindwa kuitambua
 
Application ya FILDO ni nzuri xana hasa kwa wapenz wa mziki kwa sababu inakuwezesha kudownload nyimbo za mbele pamoja na album yenye full track kwa wakat mmoja mm ndo huwa naitumia ila km unaifahamu nyingine ambayo unaweza kudownload album tujuzane maana mm huwa napenda kudownload album za mziki za wasanii wakubwa km d khaleed,21 pilot na wengineo kwahyo nahitaji kujua apk nyingine zinazowork km hii fildo
 
Mkuu sorry kwa ukimya, binafsi sijatumia hiyo OS, kwa msaada zaidi jaribu ku mcheki Chief-Mkwawa.
Huyo ni msaada mkubwa sana kwenye hili jukwaa.

Pia waweza google na kuangalia clips youtube.
 
Tinny tunes
Music paradise pro..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…