ili kutumia app za playstore kwenye pc unatakiwa udownload simlator kama bluestack etcWakuu habari. Naomba msaada wa jinsi ya kuinstall MOBDRO kwenye lap top kila nikijaribu inanidai kuactivate card. Natanguliza shukurani.
Vilevile naomba ujanja wa kuwzesha lap top kutumia App za Android yaan Apk app ili niweze kutumia google
play store kwenye lap top.
Dawnload Phoenix OS ( hii ni OS ya android kwaajili ya pc) kisha tumia flash kuinstall ni simple sana.Wakuu habari. Naomba msaada wa jinsi ya kuinstall MOBDRO kwenye lap top kila nikijaribu inanidai kuactivate card. Natanguliza shukurani.
Vilevile naomba ujanja wa kuwzesha lap top kutumia App za Android yaan Apk app ili niweze kutumia google
play store kwenye lap top.
Asante nikikwama mahali nitaomba msaada wako mkuu kwani Siko vizuri sana kwenye haya mamboDawnload Phoenix OS ( hii ni OS ya android kwaajili ya pc) kisha tumia flash kuinstall ni simple sana.
wakati wa kuscan inataka uwe na mb?You don't need to read a long voucher number just scan it and top-up in a single click by using my app <b>Vocha Master</b>. Click this link to download Vocha Master – Програми Android у Google Play
Or open Google Play and search for Vocha Master
<b>SUPPORTED OPERATORS</b>
Tigo - Tanzania
Vodacom - Tanzania
Airtel - Tanzania
Halotel - Tanzania
Nop!wakati wa kuscan inataka uwe na mb?
Shukrani mkuu
Tumia Tor browser hii hata dark web unazama nayo.Nahitaji app browser ambayo nikiwa natumia Wi-Fi yoyote.. MTU acweze kutrece site nnazoingia
Daah huu mzgo kwa dark web ni hatar mkuu. ShukranTumia Tor browser hii hata dark web unazama nayo.
Watumiaji wa dark web wengi wanatumia browser kama Tor na Orbt hizi ndizo zinazoaminiwa na ni vigumu kumtarack mtu anayetumia tor au orbit. Ukitaka kuingia dark web vitu muhimu vya kuwa navyoDaah huu mzgo kwa dark web ni hatar mkuu. Shukran
Watumiaji wa dark web wengi wanatumia browser kama Tor na Orbt hizi ndizo zinazoaminiwa na ni vigumu kumtarack mtu anayetumia tor au orbit. Ukitaka kuingia dark web vitu muhimu vya kuwa navyo
-Browser kama Tor na orbit
-Strong Vpn
-Kama computer yako ina camera, uifunike kwa tape
-Mic pia inabid uizibe
Tor browser ilitengenezwa na wanajeshi wa marekani katika shughuli zao za kupashana habari na kutransfer mafile yenye siri nzito za kijeshi. Kwahiyo ni ngumu sbb huwa haiachi mabaki yyte kama browser zingine
hustlerTaja nyingie bomba
Mkuu kwa msaada wako hivi unaweza nisaidia maujuzi zaidi au link nyingine hii haikubaliWakuu tuambizane katika experience ya apps zipi ambazo unaona bila hizo huwezi kuona thamani ya simu yako...
Mi naanza na mobdro app noma sana
Link ya kudownload MOBDRO
Charlie mobdro.apk
============