Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Wakuu habari. Naomba msaada wa jinsi ya kuinstall MOBDRO kwenye lap top kila nikijaribu inanidai kuactivate card. Natanguliza shukurani.

Vilevile naomba ujanja wa kuwzesha lap top kutumia App za Android yaan Apk app ili niweze kutumia google
play store kwenye lap top.
 
ili kutumia app za playstore kwenye pc unatakiwa udownload simlator kama bluestack etc
 
Wakuu habari. Naomba msaada wa jinsi ya kuinstall MOBDRO kwenye lap top kila nikijaribu inanidai kuactivate card. Natanguliza shukurani.

Vilevile naomba ujanja wa kuwzesha lap top kutumia App za Android yaan Apk app ili niweze kutumia google
play store kwenye lap top.
Dawnload Phoenix OS ( hii ni OS ya android kwaajili ya pc) kisha tumia flash kuinstall ni simple sana.
 
Au kama kuna uwezekano unisaidie link za hizo app mkuu
 
You don't need to read a long voucher number just scan it and top-up in a single click by using my app <b>Vocha Master</b>. Click this link to download Vocha Master – Програми Android у Google Play
Or open Google Play and search for Vocha Master
<b>SUPPORTED OPERATORS</b>
Tigo - Tanzania
Vodacom - Tanzania
Airtel - Tanzania
Halotel - Tanzania

109a479fd84d8e740833211860b93853.jpg

879c2b1327f0a6537bae6dc31df25ac2.jpg

b259f839c2d607c8c26c183e1440db8d.jpg
 
Daah huu mzgo kwa dark web ni hatar mkuu. Shukran
Watumiaji wa dark web wengi wanatumia browser kama Tor na Orbt hizi ndizo zinazoaminiwa na ni vigumu kumtarack mtu anayetumia tor au orbit. Ukitaka kuingia dark web vitu muhimu vya kuwa navyo
-Browser kama Tor na orbit
-Strong Vpn
-Kama computer yako ina camera, uifunike kwa tape
-Mic pia inabid uizibe
Tor browser ilitengenezwa na wanajeshi wa marekani katika shughuli zao za kupashana habari na kutransfer mafile yenye siri nzito za kijeshi. Kwahiyo ni ngumu sbb huwa haiachi mabaki yyte kama browser zingine
 
Kila siku tunajifunza mkuu.

Unaposema darkweb unamaanisha nini mkuu. Mfano wa darkweb.

Shukran.
 
Naomba nikumbushen best app za kublock sms na caller kwa namba ambazo hazipo kwenye contact
 
Back
Top Bottom