Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Wadau kuna calculator fulan inafanya kazi kama app ya vault mnikumbushe kidogo jina lake
 
Mkuu nijibu nina simu Samsung Galaxy J7 Prime na TV pia samsung smart shida sioni HD picha nikiconnect mobdro kwenye TV. Msaada pls. Au nimedownload wrong APK?
Ukitaka raha ya ku cast phone yako na tv tumiamKODI ipo playstire nw! Full hd!
 
Check hii video aisee,App yoyote hata ya kulipia una download tu [emoji116]

 
Channel="Charles kikoti, post: 15799230, member: 139699"]Ukitaka ufulahie uzuri wa mobdro uwe na network kuanzia 3g na kuendelea ila ubaya mwingine ina hustler tv kwa kuonyesha ngono tup kwa ambao wenzangu na mm weka mbali na watoto.
Pia haina tv chaneli za ndani.[/QUOTE]
channel za Wrestling zipo??
 
Mkuu app yako ni nzuri ila ungeongezea tool ya kuselect portion kwenye page na kuimerge na portion nyingine kutoka page nyingine, na siyo kumerge page nzima au document nzima. Heshima kwako mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…