proxy
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 1,479
- 1,348
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kwa ushauri nitaangalia namna ya kuiweka hiyoMkuu app yako ni nzuri ila ungeongezea tool ya kuselect portion kwenye page na kuimerge na portion nyingine kutoka page nyingine, na siyo kumerge page nzima au document nzima. Heshima kwako mkuu.
GBWhatsApp+ برنامج GBWhatsApp & WhatsApp+ 6.40 – GBWhatsAppNaombeni link ya Gb whats app, kwani whats aap yangu imegoma inataka ni appdet alaf link sina msaada jamani
mbona kwangu haifungukiMOBDRO ni app ya kuangalia TV.. (iptv)
Kwa Kutumia simu yako..
Ni app ambayo haipo Playstore..
Faida..
Ni kwamba unaweza kuangalia lots of Channel's zaidi ya channels 100.
Hasara..
Inakula sanaa mb kama YouTube.
Kazi kwako.
Link ya kudownload MOBDRO
Charlie mobdro.apk
Clear cache yake na uninstall any new updtesView attachment 831247 Sim yangu inagoma kufungua play store nikifungua tu inaandika unfortinately Google play has stoped naweza fanyaje wakuu
4: SD Maid. Nayo download kwenye playstore patch it utapata premium version