Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Pakua app mbili nilizotengeneza ni bible king james version na Biblia Takatifu zote haziihitaji uwe kwenye internet ili usome (available offlline)

Biblia Takatifu - Android Apps on Google Play

na link ya pili ni Bible - King James Version - Android Apps on Google Play
pyEqPfh58PWn5eMJF-6a9Tf3t5_EItRJx_dQRHbSLj3S7_dF0cB4pV2TBJZo_VKzpUJ1=h900-rw
iGHHVd4CFJlp1oZq38WraB55UJQxt4zopgdqK2Phk8XHYAkdDQ_mFiFH1NOBaofj1wA=h900-rw
vfS-iWdLmO0Xfx0Qg7kTCqux3MPhrmfXoS6fN8E4jPYVkm-b6Gah7ErMYrRlVirzMM4=h900-rw
7HEYKrEVsKGWJnBKb0sygPvvb5QT26rVdtL1iMADJ6NEC6SSrAFsGcD_hRQzpOrFdw=h900-rw

4sLpbWDny9gsd_Du6NA8m324hGZdK4Xa7Y4bBOLLnqqAaWKi7WO3vBRdGbD5L3xm5Ug=h900-rw
ot4qZyO7TA3NN_V9UczCrzqjHXCzutijNhNdDsukR9Dek0Ij-JZrG7kMKZ1x2wRTS0sv=h900-rw
Mkuu upo vzr lakini hapo kwny King James wengi tumezoea huwa inakuwa na heading
 
mimi ninaomba anayefahamu app nzuri ya kublock ads ambayo ni free
Nunua app support developers wanatumia muda mwingi kutengeneza hizo apps.
Sasa hivi unaweza kununua apps kwa tigo pesa na mpesa play store
 
Nunua app support developers wanatumia muda mwingi kutengeneza hizo apps.
Sasa hivi unaweza kununua apps kwa tigo pesa na mpesa play store
Naomba maelekezo jinsi ya kununua play store kwa tigo pesa
 
Naomba maelekezo jinsi ya kununua play store kwa tigo pesa
Ingia playstore chagua app inayouzwa, click kwenye bei kisha payment methods utaiona tigo pesa kama unatunia line ya tigo au mpesa kama unatumia mpesa ichague kisha endelea

Screenshot_20181115-071137.jpeg
Screenshot_20181115-071145.jpeg
Screenshot_20181115-071155.jpeg
 
Back
Top Bottom