Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Mimi natafuta application yenye uwezo wa kurecord video huku ukitumia simu hiyo hiyo kupiga mziki [emoji125][emoji125]nikiipata ntashukuru ..
 
So Sorry Robby!!

Ukifuatilia michango yangu humu, utaikuta hii Apps nimeizungumzia kama moja ya App nzuti niitumiayo ktk Doc, so nina muda nayo sna na kila debice yangu haikosekani but mwanzo sikuipayia playstore thats whu sikujua ni product ya mtanzania.

Sorry Again Man, zaidi hii ni Bonge la App na unatusaidia sana kazi za docment.

Tupo pamoja.. Apps gani nyingine zilizopitia kivhwani mwako?
Nimetengeneza mimi mwenyewe! Zipo app zangu kibao play store bofya hapa https://play.google.com/store/apps/dev?id=6620987035265026854

Sent from my SM-T230NU using JamiiForums mobile app
 
Usijali kaka uliipata wapi? Sababu kuna watu wanatumia kazi za watu kujipatia hela kama kuna sehemu tofauti na play store niambie ili iondolewe
 
Usijali kaka uliipata wapi? Sababu kuna watu wanatumia kazi za watu kujipatia hela kama kuna sehemu tofauti na play store niambie ili iondolewe
Nisaidie kuipata SDA Christ in song ile ya south ambayo unaweza kusearch nyimbo kwa namba ina lugha kama tano ndani... Nisaidie link kama unaweza... Yako naifahamu ila hii nimeipoteza na kila napoitafuta sifanikiwi
 
Meipenda pia ila ttzo haina setting za kuibadili muonekano hata kidogo
 
Touch & hold sehem yeyote ktk desktop yako kisha utaona setting itakuwezesha kubadili background colour & wallpape, font size & typ, na arangement nyingine mbalimbali uzitakazo
Meipenda pia ila ttzo haina setting za kuibadili muonekano hata kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…