Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Screen recorder gan ambayo ni nzuri wadau na piah ambayo unaweza ondoa watermark
 
Ninatumia Tecno C9, Sasa Haitaki Kuchange Front Style, yaani Imegomea Kwenye Stylish style tu.
Hata Ukichange Haibadiliki.
Je Nifanyaje?
 
2: Avast Anti theft
- Download version ya kawaida kwenye playstore. Patch kwa Luckypatcher utapata premium version.
Hii avast ukiiweka huwezi poteza Android yako. Hata ukiibiwa unainaweza kuitrack kwenye website ya avast. Hata kwa SMS kupitia simu y mtu unaweza kuifunga, kuiuliza simu ilipo ikakutumia location via email through Google map.
Mwizi akibadilisha line itakwambia line iliyowekwa na number yake.Just Google it utapata faida zake

Unataka Avast Anti Theft ikusaidie siku ile simu yako imeibiwa, wakati we mwenyewe AVAST umeiba kwa ku patchi, sasa siku unayoiihitaji ndio itakapokwambia "please confirm your activation"!
 
Unataka Avast Anti Theft ikusaidie siku ile simu yako imeibiwa, wakati we mwenyewe AVAST umeiba kwa ku patchi, sasa siku unayoiihitaji ndio itakapokwambia "please confirm your activation"!
Ha haaaaa
 
APP ZA LAZIMA KUWA NAZO KWA SASA
1- SCREENSHOT GO
2- FLUD
3- DAYWISE
4-SOFASCORE
5-0PERA BROWSER NOT MINI
6-WPS MOD APK
7- TIDAL
8-SPOTIFY
 
Msaada naombeni kujua ni app ipi nzuri ntaweza kuitumia Ku Brock mtu akinipigia asinipate wala SMS akituma kwangu hazifiki
 
Back
Top Bottom