Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Snaptube inafanyaje kazi?
 
anaejua App lock nzuri anijuze ninayoitumia kuna mda hailock.
 
Xperia njia rahisi ni hyo ya kingroot ila pia unaweza shift from king user to super user kwa ku update binary via super sume app hii itakuletea super su from king user
Mambo vp mkuu?
Aisee na mimi naomba unielekeze jinsi ya kuroot tecno c5
 
Madhara yanafahamika Lakini naonaga kwenye simu ambazo ni copy/Fake ndo huwa inazingua sana Sijasikia kwa mtu mwenye Orignal phone akilalamika au imekaaje
ukiroot simu security yake inakua low na warranty ya simu inakua invalid
 

Sijuti kukufahamu! Senkyu vere machee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…