Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Ukitaka ufulahie uzuri wa mobdro uwe na network kuanzia 3g na kuendelea ila ubaya mwingine ina hustler tv kwa kuonyesha ngono tup kwa ambao wenzangu na mm weka mbali na watoto.
Pia haina tv chaneli za ndani.
inapatikana channel gani kwenye mobdro,?maana nimekuwa addicted sana wa hizo mambo
 
Wakuu tuambizane katika experience ya apps zipi ambazo unaona bila hizo huwezi kuona thamani ya simu yako...

Mi naanza na mobdro app noma sana
Kuna apps nyingi sana ila WhatsApp ndiyo inaangoza kutumiwa na watu wengi sana zaidi ya 1b , karibia watu wote wanatumia hii app na ukifanya tafiti utaona kuwa hakuna mwenye smartphone asio na app hii. Ndio utaona kuwa pasipo hii app wengi wangeona simu zao hazina thamani.
 
Hapana ku root simu hakuondoi lock za simu zinazo uzwa na makampuni ya simu.
Hiyo inahitaji ku flash.
Wasiliana na Mwl.RCT
HUDUMA: Unlocking Phone by IMEI Number
Ni kweli SIM 1 huwezi kuiunlock kwa kuiroot ila hizi simu za halotel ukiweka line ya halotel SIM 2 ambako huingia line za mitandao yote huilock hiyo line.
Pia simu za halotel hazitumii Code kuzi-unlock
 
Kuna apps nyingi sana ila WhatsApp ndiyo inaangoza kutumiwa na watu wengi sana zaidi ya 1b , karibia watu wote wanatumia hii app na ukifanya tafiti utaona kuwa hakuna mwenye smartphone asio na app hii. Ndio utaona kuwa pasipo hii app wengi wangeona simu zao hazina thamani.
Acha kupotosha umma.
 
Wakuu tuambizane katika experience ya apps zipi ambazo unaona bila hizo huwezi kuona thamani ya simu yako...

Mi naanza na mobdro app noma sana
kwenye hii app Chanel gani inaonesha ligi ya Wiingereza Hispain na Germany msaada tafadhali
 
Back
Top Bottom