Senator jr
JF-Expert Member
- Apr 3, 2016
- 367
- 496
- Thread starter
- #301
Mkuu kuroot simu faida ni kuwa utaweza kuwa na acces ya kutumia apps nyingi kwenye simu yako lakini hasara kubwa nivkuwa unapoteza security kwenye simu yako..Naomba kujua maana ya Kuroot simu,faida,na hasara zake,,natumia Tecno H6