Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

DictPal
Kamusi ya Kiingereza kwa kiswahili inapatikana play store.

Inaonesha pia namna ya kutamka maneno



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Apps muhimu ktk cm yangu.. Nyingi hazipo playsore ila nazichukua google..

1. Videoder_ ni kwa ajili ua kudownload video YouTube ktk pixels mbalimbali, kuangalia hizo video na pia kudownload video hizo ya youtube ktk mfumo wa mp3 (audio)

2. Lucky patcher- hii unaeza kuhack coins na moneuy ktk games mbalimbali mfano za magari pia una uwezo wa kuifanya app yenye google ads uzuie matangazo.

3. Live football tv- kuangalia mechi live za ligi mbalimbali mfano EPL

4. Happymod- iko kama playstore ila hii unaidownload apps na games zilizo cracked and moded (yaan mfn game inakuja na pesa kabisa na kama ni apps inakuja bila matangazo au watermarks)

5. Piscart- kuedit picha ktk namna mbalimbali

6.Fotmob- kuangalia matokeo ya mechi za mpira wa miguu misimamo ratiba wafungaji nk

7. Sportpesa- ni kwa ajili ya kubeti ukifungua account yako una uwezo wa kibeti hata mechi moja na kiasi ni kuanzia 500

8. Nmb mkononi_ kwa wale wenye account bank ya NMB hii ni nzur unaweza kuangalia salio bure, kukopa, kuhamisha pesa bank kwenda mpesa tigo pesa nk



Sent using Jamii Forums mobile app
 
SafarPoa ni application ya kutata ticket za bus online pamoja na kutafuta gari za mizigo
 
Reactions: dtj
Binafsi ninayo hiyo app...


Hizo ni baadhi tu.
 
Unapo tatizika na jambo omba msaada sio kutoa kejeli. Haya pitia hii thread utakuta active link

Ukishindwa active link hiyo hapo
 
hakuna kejeli ninachopinga ni kudanganyana kote kupotezeana muda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…