pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 5,248
- 3,663
Grammarly
asanteIngia kwa hii link pia, no need for app How To View Hidden Files On Android?
Sent using Jamii Forums mobile app
umeitengeneza lini?
mm naomba tufungulie hii iliyowekwa
kila mtu anaweza kuangalia Television kwenye Android app kibao
lkn msituwekee vitu vikatula Mb ndio maana ya udugu wa JF
post: 34503568 said:
*Free IPTV
https://www.mediafire.com/file...usmm7vo4fhd/Free_IPTV.apk/file
hii ipo sawa?? kwa sababu sio mm tu niliyelalamika
post 3,812
Tumia SwiftKey, hii nzuri sana. Nakushauri uitafute na usome function zake
Sent using Jamii Forums mobile app
Apana tunaendelea kula maisha na gb zetu siku nyingi sanaWadau wa gb WhatsApp vp hawa jamaa bado wanapiga Ban?
Sent from ONEPLUS 5T using Tapatalk
Hii inakubali tena muda huu nachek universal soldier 3 kwenye channel ya movie now mkali Jean claude van dame yupo humoUnapo tatizika na jambo omba msaada sio kutoa kejeli. Haya pitia hii thread utakuta active link
Leo jioni naleta hapa free app ya kuangalia TV mbalimbali, kaeni tayari
baada ya kupokea PM nyingi kutoka kwa wadau mbalimbali kuwa badala ya kuweka hapa link ambazo wengi hawawezi kuziplay, wameshauri niweke kwenye app moja ambayo itakuwa rahisi kwa wote kuplay. UPDATE Tumewaleta version bora zaidi ambayo kwa sasa inapatikana Play Store Pure Entertainment - Apps...www.jamiiforums.com
Ukishindwa active link hiyo hapo
Free IPTV
with FREE IPTV app you have the access to more than 100 Sports, Movies, Series and News TV channels.www.mediafire.com
Wana anti ban ila honestly i don't real trust them.Wadau wa gb WhatsApp vp hawa jamaa bado wanapiga Ban?
Sent from ONEPLUS 5T using Tapatalk
Ni ya Ontario yule kijana machachari?
Ulitaka isitumie bundle itumie nini sasa mzee [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]hamna kitu
inakula bundle tu
Hivi mkuu kibongo bongo una secure nini?? Au sms za mchepuko?? [emoji12][emoji12][emoji12]Ni ya Ontario yule kijana machachari?
Mkuu zile language 12 ulijifunzia wapi?
SMS za free WiFi.Hivi mkuu kibongo bongo una secure nini?? Au sms za mchepuko?? [emoji12][emoji12][emoji12]
Sent by nokia tochi