Za kwangu hizi hapa
1. LinkedIn - hii ni kwa ajili ya connection za kiproffesional na michongo ya kazi na project za hapa na pale.
2. Twitter- huku kwa ajili ya ku-hang na kujua habari za hapa Tz na duniani kwa ujumla.
3. WhatsApp hii kwa ajili ya family and friends
4. Freebasics hii naitumia napokuwa sina bundle kuingia JF na kwenye mitandao kama BBC na Wikipedia
5. Dropbox - hii kwa ajili ya kuhifadhi na kupokea file kubwa za kiofisi na nyinginezo
6. Drive - kwa ajili ya kuhifadhi files
7. OneDrive- kwa ajili ya ku-share documents mbalimbali
8. WPS office- kwa ajili ya PDF file and MS office files
9. VLC kwa ajili ya audio na video files
10. Jiji - hi app ya TZ kwa wanaouza na wanaotaka kununua vitu.