SMS za ile hela tuma kwenye hii mamba๐๐๐Hivi mkuu kibongo bongo una secure nini?? Au sms za mchepuko?? [emoji12][emoji12][emoji12]
Sent by nokia tochi
Ha ha haaUlitaka isitumie bundle itumie nini sasa mzee [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Sent by nokia tochi
Bora Mkuu umenenalink haifanyi kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mt4 haimilikiwi na ontario mkuu yeye pia alikuwa mtumiaji mzuri tu wa mt4 ๐๐๐๐Ni ya Ontario yule kijana machachari?
Mkuu zile language 12 ulijifunzia wapi?
Ni ya Ontario yule kijana machachari?
Mkuu zile language 12 ulijifunzia wapi?
Safi sana.๐๐Self teaching(6 languages hasa hizi za romance ) mkuu ila nyengine nimejifunzia UDOM na bado najifunza kama part ya additional module,na pia ili kujinoa zaidi nina friends wengi wa hizo nchi na huwa napita vyuo kama SAUT (vile wanavyofundisha linguistic na languages kwa ujumla) huko huwa naendelea kujifunza kupitia kuongea,majadiliano na pia midahalo na wanafunzi wa huko .(ukiondoa Esperanto ambayo ni made up language isiyokuwa na official state ๐๐. nilijifunza just for fun, nawashauri wale wanaotaka jifunza spanish waanze na hii lugha kwanza).
Kikubwa nija passion na lugha na huwa najifunza both kuongea na pia historia ya lugha husika .
Ebana nime download hii keyboard ni noumaFancy keyboard ni nyoko zako
Tupia link boss
Haina kwaliti hiyo.......Kebodi za walioingia mjin leo.........!! tafuta mai foto kibodi.....Unaset picha,unadisaini fonti unayotaka na kachumbari kibaoKi vipi ndugu?
Msaada jaman sim yangu tec l9 imekuwa km imeflash yn mpya pale kwenye screen kuna neno gestarted ukiifata mble inatoa option ya kuweka email au phone namba lkn aliyekuwa anatumia amesahau,ss ukiingiza mpya google wanagoma na wala hamna opt ya kucreate new amail pale
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida haina kiswahili