Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Hiyo free basic ni app Au web......Tuma link ntag mzee babaZa kwangu hizi hapa
1. LinkedIn - hii ni kwa ajili ya connection za kiproffesional na michongo ya kazi na project za hapa na pale.
2. Twitter- huku kwa ajili ya ku-hang na kujua habari za hapa Tz na duniani kwa ujumla.
3. WhatsApp hii kwa ajili ya family and friends
4. Freebasics hii naitumia napokuwa sina bundle kuingia JF na kwenye mitandao kama BBC na Wikipedia
5. Dropbox - hii kwa ajili ya kuhifadhi na kupokea file kubwa za kiofisi na nyinginezo
6. Drive - kwa ajili ya kuhifadhi files
7. OneDrive- kwa ajili ya ku-share documents mbalimbali
8. WPS office- kwa ajili ya PDF file and MS office files
9. VLC kwa ajili ya audio na video files
10. Jiji - hi app ya TZ kwa wanaouza na wanaotaka kununua vitu.
Kuna app ya freebasics
NdidalihaKuna app ya freebasics
Tembelea freebasics.com
Scroll Hadi mwisho utakutana na link inayosomeka"pata program ya bila malipo"
Wewe clink then itakuletea taarifa ya kudownload
Ni 2.5mb tu Ni bure pia kudownload
Huliha chochosi
naomba kufaham app nzuri ya kutoa au kufuta stiker zilizowekwa kwenye picha ili kuficha sura, sehem fulani ya mwili au maandishi fulan au namba ya simu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787]Wewe jamaa acha unoko[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] aliyefichaa ana maana yake wewe unataka kufukua makaburi[emoji3]
Zipo kibao tu...pia zipo site kibao ukitumia Google.wakuu hivi hakuna app nyingine ya kudownload application zaid ya play store?
Sent using Jamii Forums mobile app
blaza umetumia vizuri lakini io fancy mana izo mbwembwe zote ila yenyewe ina mbwembwe zaidi nimewai kuitumia my photo gaina mambo mengi zaidi ya picha tuHaina kwaliti hiyo.......Kebodi za walioingia mjin leo.........!! tafuta mai foto kibodi.....Unaset picha,unadisaini fonti unayotaka na kachumbari kibao
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1][emoji1][emoji1] poa mkuuShida haina kiswahili
Jaribu na hii utaniambia [emoji2398]
[emoji117]ai.type Free Emoji Keyboard 2020 - Apps on Google Play
Sent by nokia tochi
Shida haina kiswahili
Jaribu na hii utaniambia [emoji2398]
[emoji117]ai.type Free Emoji Keyboard 2020 - Apps on Google Play
Sent by nokia tochi