Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Guys naweza pata app ambazo inaongeza space kwenye simu???natumia vile visimu vya vodaphone sasa kina 2gb kinajaa haraka kweli na kuna muda hakifanyi kazi kikijaa zaidi memory card inasoma ila haifanyi kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
ALL IN ONE TOOLS inasaidia sana kutambua kisichohitajika kwa phone yako na inakubakishia space nzuri tuu kwa simu ya android lakini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wataalamu habari ya jioni!!
samahani naomba kufahamishwa kuhusu hili jambo.
nikipiga simu naandikiwa hivi: CONDITIONAL CALL FOWARDING ACTIVE. hii ina maana gani wakuu???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…