Tafuta file managerWadau kauna app gani nzuri ya ku move file kutoka kwenye internal storage ya simu kwenda kwenye external storage ya simu(SD)
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimetengeneza app inayokuwezesha ku skani dokumenti kwa kutumia kamera ya simu yako naomba muijaribu inapatikana play store kwa jina la ScanPal
Document scanner ScanPal: PDF scanner app - Apps on Google PlayView attachment 1452492
Sent using Jamii Forums mobile app
poa poa mkuucheki na AC MARKET & HAPPYMOD humo unashusha mapaka Apps zakulipia Bureeee kabisa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka ujiresta au?? naona inanisumbua kutumia tupe shule kidogocheki na AC MARKET & HAPPYMOD humo unashusha mapaka Apps zakulipia Bureeee kabisa!
Sent using Jamii Forums mobile app
tuanze na unapokwama
Ac market na happy ....naipatajae?tuanze na unapokwama
Nlidownload but kwenye kuinstall app inaznguatuanze na unapokwama
##002#
cheki na AC MARKET & HAPPYMOD humo unashusha mapaka Apps zakulipia Bureeee kabisa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Es File explorerWadau kauna app gani nzuri ya ku move file kutoka kwenye internal storage ya simu kwenda kwenye external storage ya simu(SD)
Sent using Jamii Forums mobile app
Type of file ni ipi? Ukijibu nitakuelekeza cha kufanya...Wakubwa nimedownload premium apk ya wps kupitia happymod inagoma kuinstall. Nifanyeje kufix tatizo....Msaada tutani
Download kawaida itaingia tu...Wakubwa nimedownload premium apk ya wps kupitia happymod inagoma kuinstall. Nifanyeje kufix tatizo....Msaada tutani
Áina ya Simu? na kama kuna app nyingine fanya kuitoa kwanza ndio u install...Wakubwa nimedownload premium apk ya wps kupitia happymod inagoma kuinstall. Nifanyeje kufix tatizo....Msaada tutani
.....Unamaanisha kupitia playstore..??Download kawaida itaingia tu