Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tafuta app inaitwa FaceApp ina hiyo feature.

Japo kwa ufanis zaidi yakupasa ujiongeze kidogo.
 
Xperia njia rahisi ni hyo ya kingroot ila pia unaweza shift from king user to super user kwa ku update binary via super sume app hii itakuletea super su from king user
Unaweza kufafanua vizuri kidogo hapo kwenye binary mkuu?
 
Wakuu habari za hapa jukwaani.
Naomba msaada wa ku- download apps za kulipia bure.
Sijawahi kufanikiwa kupata hii kitu ingawa nimesikia story nyingi tuu za uwezekano wa kula bila kukaribishwa
 
Wakuu habari za hapa jukwaani.
Naomba msaada wa ku- download apps za kulipia bure.
Sijawahi kufanikiwa kupata hii kitu ingawa nimesikia story nyingi tuu za uwezekano wa kula bila kukaribishwa
Unataka app gani ?? Zipo store nyingi sana


Kuna aptoide au happymood au ac market au apk4all au blackmart
Ni wewe tu

Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app
 
Habari Nomba msaada wa namna ya kuweza Kuroot simu Kwa kutumia ONE CLICK bila kulipia kwa kutumia Computer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…