Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

cjui hata nikuelekeze vipi kwa mfano umepiga picha eneo flani ila hutaki vitu vilivyo nyuma yako vionekane sasa kuviwekea shade fulani visionekane kwa mbali ndo nachotaka yaani ibaki picha kama picha nimejaribu brul ila wanazingua sio app nzuri uki edit picha inatia shade mpaka picha yenywe xo inakuwa haina mwonekano mzuri!!
Tafuta app inaitwa FaceApp ina hiyo feature.

Japo kwa ufanis zaidi yakupasa ujiongeze kidogo.
 
Xperia njia rahisi ni hyo ya kingroot ila pia unaweza shift from king user to super user kwa ku update binary via super sume app hii itakuletea super su from king user
Unaweza kufafanua vizuri kidogo hapo kwenye binary mkuu?
 
Wakuu habari za hapa jukwaani.
Naomba msaada wa ku- download apps za kulipia bure.
Sijawahi kufanikiwa kupata hii kitu ingawa nimesikia story nyingi tuu za uwezekano wa kula bila kukaribishwa
 
Wakuu habari za hapa jukwaani.
Naomba msaada wa ku- download apps za kulipia bure.
Sijawahi kufanikiwa kupata hii kitu ingawa nimesikia story nyingi tuu za uwezekano wa kula bila kukaribishwa
Unataka app gani ?? Zipo store nyingi sana


Kuna aptoide au happymood au ac market au apk4all au blackmart
Ni wewe tu

Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app
 
Habari Nomba msaada wa namna ya kuweza Kuroot simu Kwa kutumia ONE CLICK bila kulipia kwa kutumia Computer
 
Back
Top Bottom