Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

App nzuri ya ku block calls uwe haupatikani kabisa sio iwe inasema namba inatumika ni ipi?
Kuna app inaitwa should I answer hii inafanya kazi kwa

1. Kuzuia simu zisiingie kwa kuzikata.
2. Kuzuia simu zisiingie (hapa zinaita kwao ila kwako hazitaita kabisa) look, inaonekana kama haupokei simu na sio unakata.
3. Kwa kujipokea yenyewe na kisha kukata.

Hii ni unaweza ukachagua namba moja au ukaweka namba zote ambazo hazijawa saved kwenye contact yako yani namba mpya.

Hii inamaanisha hata anayekupigia akitumia namba nyingine bado hatakupata.
Baadae unaweza ukaona namba zote ambazo zimekupigia kama utataka.
 
We mwanamke nilipanga kukulipia mahari ila na ahirisha..... Sio kwa ujasusi huu.
 
Music match inauzwa mdau tatizo hili
 
Musix match inauzwa mdau nifanyaje niipate ya bure
 
Kwangu inagoma kufungua iyo luck patcher mdau
 
Nani kafanikiwa kuwa nayo hii luck patcher

Mimi inaniletea habari hii
 
Msaada wadau njia rahisi kuhamisha app kutoka internal storage kwenda sd card??
sio kila simu ina uwezo huo waku amisha kwnye external storage
ila Fanya ivi nenda kwenya app info then storage utakuta transfer to scard
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…