Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

App yaangu ya PDF imeboreshwa kwa muonekano mpya. Inapatika playstore kwa kiungo hiki All PDF - PDF Reader, PDF Viewer & PDF Converter - Apps on Google Play

Au unaweza kwa uipata kwa kuandika All PDF View attachment 1959618View attachment 1959619View attachment 1959620View attachment 1959621
Screenshot_20211001-210134.jpg


Sent from my Nexus 5X using JamiiForums mobile app
 
Temp Mail
Hii inatoa temporary email address,,kuna muda unatamani ujaze mail ambayo sio main ile kweny subscription mbali mbali,au hutak kutoa.email yako kuu kwa kila mtu hasa kwa temporary work..basi hii itakufaa sana...

Ni nzur kupakua cracked one itakupa premium features

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
 
Hivi app ya kuficha apps ulizonazo kwenye simu ilipatikana humu kweli?
Mimi najua kuna simu zinatoka na hiyo feature, ila kama simu yako haina hiyo feature tumia Microsoft Launcher, Nova launcher na pia kuna Vault apps zipo kibao nje ya Playstore tafuta kwa Google, unapo search kumbuka kuandika neno pro au premium
 
Habari wakuu app gan nzuri inayofanya kazi vizuri ku spy android phone?


Na pia app nzuri ya kuchekia mpira. Thanks
 
Nafanyeje nipakue movies latest za hollywood kwa simu?
Download app inaitwa 'Bittorent Pro' , search kwenye Google usiende Playstore maana kule Pro inauzwa lakini uki search kwenye Google unaipata Bittorent Pro bure kabisa. Baada ya ku install hiyo app nenda kwa website hii YIFY Movies Torrent Download - YTS Baada ya hapo uta download movies kwa kubonyeza alama ya sumaku (Magnet link) na zitaenda moja kwenye 'bittorent' kumaliza hatua za ku download
 
Back
Top Bottom