Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Msaada wa app nzuri ya kuangalia mpira online kwa mb chache
 
Wakuu naomba app nzuri ya kuhifadhi picha na videos
 
Hz website naweza danload korean movies na cartoon movies?
Haswaaaaa...... hapo ndio mahala pake. We ingia tu Google halafu search Nkiri.com itafunguka. Utasearch muvi unayoitaka itakuja then una download.. Simple sana na MB zake ni nafuu
 
Naomba kupata app yenye maps ambayo inatupa picha za latest katika eneo husika.
 
Naombeni app ya kudownload video YouTube viedoder imenizingua, vidmate siitaki ina matangazo kibao
 
Naombeni app ya kudownload video YouTube viedoder imenizingua, vidmate siitaki ina matangazo kibao
Hutaki matangazo unataka App developers wakale wapi? Ukitaka huduma za mtandaoni zisizo na usumbufu just Buy/Pay for it, premium services utazipata huduma Muhimu V.i.p, yaan udownload app kwa m.b 20 kitu walichosotea wenzio kukimake alaf wew uwapangie...em tuweni na usiriaz wajameni...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…