Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Samahan Mkuu,hizi unalipia au ni bando lako tu?halafu hyo yacine tv kila nikii download inanigomea kuonesha hzo channel zake sjawaj kuona ikikubal hata sku 1
Hulipiii ni wewe na bundle lako tu mkuu..yaccine ili iweze kuplay inabidi uwe na apk inaitwa TPLayer ipo google haipo playstore
 

Mkuu hii sports fire imekubali,vp quality ya picha hakuna sehemu ya settings zake?maana kwangu quality sio nzuri au itakuwa speed ya internet yangu ndyo shida
 
Wakuu tuambizane katika experience ya apps zipi ambazo unaona bila hizo huwezi kuona thamani ya simu yako...

Mi naanza na mobdro app noma sana
Link ya kudownload MOBDRO
Charlie mobdro.apk
============
Kuna apps nyingine inaitwa videorder matata sana
Wakuu tuambizane katika experience ya apps zipi ambazo unaona bila hizo huwezi kuona thamani ya simu yako...

Mi naanza na mobdro app noma sana
Link ya kudownload MOBDRO
Charlie mobdro.apk
============
Naomba kujua app nzuri ya kupima urefu. Mfano ukuta wa nyumba.
 
Kitu kama hicho mkuu sina uhakika ....kama hawana playstore basi watakuwa na store yao jaribu kuangalia tv yako
Kila smart TV ina OS yake kulingana na Company, isije kuwa anatumi kampuni ambazo wana mifumo yao mfano Apple smart tv hawana play store, na baadhi ya smart tv wana OS zao ambazo hazina mifumo endeshi ya android hivyo huwezi kuikuta playstore.

Tuwe tuna soma maelekezo ya Tv kabla ya kununua
 
Naomba link ya hii app
 
Hiyo application kama hutumii wi-fi connection achana nayo utanishukuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…