ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Inakula sana bundle mkuu sasa kama ana vitu vingi ita mcostdownload google photo ipo playstore,unachofanya ni kuzi upload picha na video huko hazioni na mtu,zaidi yako mwenyewe,alafu unazifuta hizo picha na videos kwenye simu yako,picha zina baki.na ukubwa wake ule ule,tumia hiyo ni njia nzuri sana