Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

download google photo ipo playstore,unachofanya ni kuzi upload picha na video huko hazioni na mtu,zaidi yako mwenyewe,alafu unazifuta hizo picha na videos kwenye simu yako,picha zina baki.na ukubwa wake ule ule,tumia hiyo ni njia nzuri sana
Inakula sana bundle mkuu sasa kama ana vitu vingi ita mcost
 
Hiyo videoder nmeitumia kiukweli ni app nzuri Sanaa. Msaada wa app nnaweza tumia download videos/music kwenye iPad
 
Kuna mtu humu alisema aliwahi kudownload cracked version ya power ramp player msaada tafadhali jinsi ya kudownload
 
Mobdro kwangu ina play vizur nikiangalia channel za kawaida..ila live game za football inakuwa inagoma kabisa..hapa tatizo n nn wakuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…