Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Naomba mwenye link nitakayopata poweramp full version bila kulipia aniwekee hapa
 
nina la Application: Parallel space
kazi yake: inakufungulia multiple account ktk simu moja yaani kama kufungua whatsap 2 au facebook 2 au instg 2 zote hizo ktk simu moja.

inapatikana play store
 
Tecno boom j 7 haichaji ikiwa on. Mpaka niwe nimeizima ndo inachaji ,, nisaidie nifanyejee
 
Android system haiwez shambuliwa na virus
Mkuu natumia sim ya tablet yenye mfumo wa Android na nisipoweka antivirus hufikia muda ikajizima kabisa.,pia zipo tablets zenye mfumo wa Android pia husumbuliwa na virus,simu yoyote inayoweza kudownload kitu lazima inashambuliwa na virus.,hata kupeana vitu kwa bluetooth pia unaweza kupata virus.,sasa cjui unaposema hivyo unamaanisha nn.,tupe darasa huru.,Nilichohitaji kufaham ni Antivirus gani nzr.,inayoweza kuzuia shambulio na kusafisha simu.maana cko nying mno.
 
Kumbe unajua sababu za virus
simple solution ni ku download from secure source na kuwa makini na unacho share through Bluetooth

Kama huyawez hayo ndo utumie Avast
ambayo inaongeza tu space na kufanya simu iwe slow
 
Naomba maelezo zaidi juu ya hiyo app mkuu Fungii.... maana naichezea co tofautii ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…