Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tecno boom j 7 haichaji ikiwa on. Mpaka niwe nimeizima ndo inachaji ,, nisaidie nifanyejee
Inaonekana charge ina low voltage .Hebu fanya hivi tafuta usb kisha chomeka kwenye pc hiku simu ikiwa onn.kama ikichage tafuta charge yenye volt ya betry yako kama isipocharge bac system charge imekufa
 
  • Thanks
Reactions: Lee
895ffec09684baf2edb1527eba780433.jpg

Ni hip kati ya hapo
 
Msaada jaman je kuna anaejua application ya Ku unlock WiFi utumie free maana hapa maeneo zipo nyingi inshu kuzama sasa.....
 
Inaonekana charge ina low voltage .Hebu fanya hivi tafuta usb kisha chomeka kwenye pc hiku simu ikiwa onn.kama ikichage tafuta charge yenye volt ya betry yako kama isipocharge bac system charge imekufa
thanks mkuu ,umenifumbua macho naona chaja ndo ilikuwa tatizo..be blessed
 
Back
Top Bottom