wambura marwa
JF-Expert Member
- Mar 7, 2015
- 2,172
- 1,128
Ndiyo pia kuna streaminHiyo na yenyewe ni app kma mobdro.??
Inaonekana charge ina low voltage .Hebu fanya hivi tafuta usb kisha chomeka kwenye pc hiku simu ikiwa onn.kama ikichage tafuta charge yenye volt ya betry yako kama isipocharge bac system charge imekufaTecno boom j 7 haichaji ikiwa on. Mpaka niwe nimeizima ndo inachaji ,, nisaidie nifanyejee
Zote zinapatikana playstore mkuu ni kui installTuma link yake mkuubwa Marwa
ZONA TV. STREAMINZote zinapatikana playstore mkuu ni kui install
Hiyo ya mwanzo mkuu
Ni hip kati ya hapo
ZONA tvHiyo ya mwanzo mkuu
maelezo yapi?cja kuelewa vzurNaomba maelezo zaidi juu ya hiyo app mkuu Fungii.... maana naichezea co tofautii ..
sio rahis kihivyoMsaada jaman je kuna anaejua application ya Ku unlock WiFi utumie free maana hapa maeneo zipo nyingi inshu kuzama sasa.....
Hivi wakuu hamna jinsi naweza fanya nikatumia namba mbili kwa w'app ktk simu moja,naomba kama inawezekana na kuna mtu anaejua anielekeze.
kama hamjafanikiwa tumieni link hii hapa unaweza tumia hata whatsapp nne kwa simu mojaMbona mie Nina GB WhatsApp na nashindwa kuifanya iweze kutumia namba mbili nielekeze pia
thanks mkuu ,umenifumbua macho naona chaja ndo ilikuwa tatizo..be blessedInaonekana charge ina low voltage .Hebu fanya hivi tafuta usb kisha chomeka kwenye pc hiku simu ikiwa onn.kama ikichage tafuta charge yenye volt ya betry yako kama isipocharge bac system charge imekufa
Kaributhanks mkuu ,umenifumbua macho naona chaja ndo ilikuwa tatizo..be blessed
Iko poa ila channel nyingi hazipatikaniIko vizuri ila kuna Zona TV Iko vizuri zaidi