Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

TIGO Na YouTube ya bure sijajua inakuajekuaje lakini tangu waanzishe hii kitu ikifika hiyo mida ya saa sita huwa natumia youtube, playstore, na naperuzi website yoyote na kudownload kupitia browser ya chrome na kudownload file lolote ili mladi liwe kwenye link za google drive na kwa speed ile ile, sasa sijajua ni kwangu tu au vipi.!!!
 
Mwenye link za kudownload game la gta vice city na need for speed most wanted naomba tafadhari. Game za kwenye pc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…