Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Nani anafaham app yaku cut picture in to pices n ukiongalisha inakuwa nzimaa.. msaada.
 
Natafuta App ya kupakua nyimbo toka YouTube, kuna wakati nilikua natumia Windows Phone na ilikuepo inaitwa YouTube Downloader baada ya kubadilisha simu hii app haipo tena, je kuna alternative? Pia niliwahi kuwa na Spycamera moja matata sana ila kila nikiitafuta tena siioni baada ya kubadilisha simu pia. Msaada wakubwa
 
Tafuta app inaitwa vidmate
 
inazingua aiseee, dah inanimbia kuwa ime-stop unfortunately
Tafuta Hii, Aipo Play store Katafute Google. "Snaptube"
af6877eac6c9b44757aab826df7b8049.jpg
 
Msaada kwenye tuta
Nina samsung gt i9082 ikiwaka inaishia ktk neno samsung tuu, naomba mwenye os/firmware current ya hyo pls, ili niipige chini au mwenye kujua direct link ya kuidownload maana nakaribia kuchoka na sina hela yakumpelekea fundi mi mwenyewe huwa nazibutua tuu ila leo nomekwamia hapo,
 
Back
Top Bottom