Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Acha kabisa kaka yaani full raha nimeweka iptv zangu nakula raha tuuu.two in one.application nimezidownload kwenye simu then nika send through xender apk nimeweka apk zote zilizokuwa kwa simu yangu.ningefurahu zaidi kam mobdro ingekubalii.

Jana nilipatamuda nika cheza collin mcrae Rally daaaah nilisuuzika sana.
 
Kwa Upande Wa Security Avast Kwangu Ni Bora, Inakuwezesha Kuipata Simu Kma Imeibiwa Au Kupotea Kwa Kutumia App Yake Ya Anti- Theft. Ina Automatic Scan Unaset Kila Siku Muda Flan Inascan Simu Na Kukupa Repot Kma Kuna Tatizo/App Inayoweza Iathiri Simu Inakwambia. Kwa Upande Wa Music Kuna Music match Hii Inakuwezesha Kuplay Music Huku Ikidisplay Lycis Za Nyimbo Unayoplay, Pia Ina Music ID Inayokuwezesha Kuitambua Nyimbo Usiyoijua Ila Unaisikia May Be Unaitaka Labda Inapgwa Radion Ila Aujui Kaimba Nani Na Unaipenda Unaweka Music I'd Inakwambia Jina La Wimbo Na Muimbaj Hapo Hapo Inakupa Options Ya Kuudownload Huo Wimbo. Ina Option Ya Kucreat Card Via Lycis Inayodisplay Pindi Unapoplay Music. Kuna Tunein Radio Inakuwezesha Kusikiliza Radio Maeneo Ambayo Radio Ya Kawaida Aikamati Inazo Local Radio Zotee Pia Ina Radio Za Nje Kibao Na Zinazopga Miziki Ya Taratibu Ya Zamani Kuanzia Miaka Ya 80 Kuja Juu. Kuna App Nyingi Nzur Sanaa.
Mkuu, naomba unipe link.
 
Mimi naomba unisaidie jinsi ya kuroot tecno w4 bila kutumia kompyuta, maana nimejaribu kutumia king root inaishia Kama inavoonekana kwenye picha apa chini, imekuwa apo kwa mda wa masaa mawili aisee!!!!!!!???
Njia pekee kwasasa iliyopo ni kwa kutumia Pc. Kama upo tayari nikupe link yenye maelekezo.
 
Hata mimi napata hilo tatizo mkuu nahisi bado hamna version ya kingroot inayo faa kwa android 6.0
Njia pekee ya kuroot baadhi ya simu zenye marshamallow ni kwa kutumia pc.
 
Me nimeiona sema cjui ni ipii , weka creen shot ur display tuone icon yake.. mkuu
 
MOBDRO ni app ya kuangalia TV.. (iptv)
Kwa Kutumia simu yako..
Ni app ambayo haipo Playstore..

Faida..
Ni kwamba unaweza kuangalia lots of Channel's zaidi ya channels 100.

Hasara..
Inakula sanaa mb kama YouTube.

Kazi kwako.
Link ya kudownload MOBDRO
Charlie mobdro.apk
Hatareee
 
ntawezaje ku update lg g2 kwenda lollipop au marshmallow?
 
Back
Top Bottom