d tarimo
JF-Expert Member
- Jul 23, 2015
- 918
- 515
Unaipataje mobdro? Nimeitafuta mobdro kwenye playstore na sijaiona.
Natumia Sumsung S7 android v.6.
search Google mwanzo wa hu Uzi kunalink
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaipataje mobdro? Nimeitafuta mobdro kwenye playstore na sijaiona.
Natumia Sumsung S7 android v.6.
Mkuu unajua nikisha idownlod wakati wa kuinstal inaniambia kwamba installation not succesfulKiongozi nenda google andika busybox.apk kisha search. Au dawnload app inaitea aptoide kusha tafuta busybox kupitia hiyo aptoide.
SIMU Yako IPO Rooted?Mkuu unajua nikisha idownlod wakati wa kuinstal inaniambia kwamba installation not succesful
So try kuinstal in different locatn.
So hapo ndo nashindwa nifaanyaje
Ndio nime root kwa king rooterSIMU Yako IPO Rooted?
Ngoja tusubirie wadau![]()
Hii application gani inayokuwa na uwezo wa kufifisha background inakuwa haionekani vizuri fulani kama hio picha
Ndio nime root kwa king rooter
Haya ndo majibu nliyopewa
Thank you for this useful linkNi apk nzuri sana Mimi nimeipata hapa
Mobdro — All the web’s free video streams on your Android device
haigomi haikatai kwa kimeo cha aina yoyote alimradi iwe kuanzia
4.1/
Mkuu utapata BP bureKuna mtu aliwahi kuweza uzi humu ukielezea jinsi ya kumfuatilia mtoto wako na kupata sms zake kila kitu naomba mtu aniwekee link ya uzi ule hapa
Naomba kuuliza wakuu nitumie launcher ipi ktk tecno y6 yangu samahani kwa usumbufu.
Mimi natumia y6 nna kitu inaitwa next 3d launcher, utapagawa nayo mkuu ni shida sana, cjaona launcher tamu kama hii.Naomba kuuliza wakuu nitumie launcher ipi ktk tecno y6 yangu samahani kwa usumbufu.
Jaribu na L Launcher haina mbwembwe nyingi lkn ipo vizuri sana.Naomba kuuliza wakuu nitumie launcher ipi ktk tecno y6 yangu samahani kwa usumbufu.
Mkuu uzi sijaupata lakini unacho kihitaji hiki hapa kazi kwakoKuna mtu aliwahi kuweza uzi humu ukielezea jinsi ya kumfuatilia mtoto wako na kupata sms zake kila kitu naomba mtu aniwekee link ya uzi ule hapa
Asante MkuuMkuu uzi sijaupata lakini unacho kihitaji hiki hapa kazi kwako
Mobile Tracker Free | Cell Phone Tracker App | Monitoring App for Android Smartphone