Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

mimi nataka kujua ni App gani ambayo unaweza kuhack simu ya mwingine, yani hyo App iwe inakupa info zote za huyo uliyeisett no. yake
Ku dukua mawasiliano ya mtu kisherio nikosa la jinai.
Ila App zipo. Tafuta tu mada humu humu jf limeshawahi kujadiliwa hilo swala.
 
Wadau ,, kwa wale wapenda videos,, hasa kudowload itumie VIDEODER iko poa sana ,,
b6d9d9c260a391710de38ad6ab8601db.jpg
 
Jamani wakuu nisaidie hapa jinsi ya kudownload busy box manake hapa naambiwa lucky patcher haiwezi kuendelea kufanya kazi kama sija instal busy box
 
Ama naombeni mtume link hapa manake nine download lakn haitkai kuwa installed
 
Msaada mkuu, namm nataka kuchakachua game la score hero ila nashindwa
Ukifungua lacky patcher utaona hiyo game yako then click hiyo game itashuka menu then utaona imendikwa menu of patchers unaclick hapo halaf utaona support flani hapo ngoja nikuekee pic
 
Back
Top Bottom