Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Sketch box inawafaa wahandisi, landscape designers architect na designer kufanya sketches ya ideas.
 
Natumia htc one m7 nimedownload io trial version lkn pia nimekwenda apo lucky patcher nimefata stages zote lakn bado license haijawa verified....sasa cjui y?
 
Nimefata izo hatua zote lkn bado imekataaa htc one m7
usichague ya kwanza.. chagua ya tatu au ya pili katika hizo menu of patches.
3a88be5edec180776726b8f71abd3fc6.jpg
 
Hii cjaifanya rooted ila mi navojua hiz iz htc ziko rooted znyw
hapo kwene red, u are wrong. itabd uiroot.
.. simu haiwez kuwa kukubali kama haijawa rooted. cha kufanya lipia tu mkuu. its only $0.4.
ukishindwa kulipia switch to jet audio. ni nzuri pia
 
mimi nataka kujua ni App gani ambayo unaweza kuhack simu ya mwingine, yani hyo App iwe inakupa info zote za huyo uliyeisett no. yake
 
Back
Top Bottom