Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

MSAADA WADAU kama mtu ana link yake inayofanya kazi ya ku intal kwa urahisi atupie hapa tafaadhal
 
Wakuu heshima kwenu,.katika simu yangu LG769 20h nikiingia setting chini kabisa ABOUT PHONE inaonesha alama ya hii. ! rangi ya bluu)inaashiria nini.
 
8070e920c6ac5edc9a5fbe428057fc37.jpg
 
WADAU MSAADA WA JINSI YA KUI INSTALL BUSY BOX kwangu inazingua na inanambia bila hii luckpatcher yangu haifanyi kazi vizur
Kiongozi nenda google andika busybox.apk kisha search. Au dawnload app inaitea aptoide kusha tafuta busybox kupitia hiyo aptoide.
 
Ukitaka ufulahie uzuri wa mobdro uwe na network kuanzia 3g na kuendelea ila ubaya mwingine ina hustler tv kwa kuonyesha ngono tup kwa ambao wenzangu na mm weka mbali na watoto.
Pia haina tv chaneli za ndani.
Nimejaribu kufungua kalibia chanel zote. Sijaona za x
 
Ukitaka ufulahie uzuri wa mobdro uwe na network kuanzia 3g na kuendelea ila ubaya mwingine ina hustler tv kwa kuonyesha ngono tup kwa ambao wenzangu na mm weka mbali na watoto.
Pia haina tv chaneli za ndani.
Hustler tv mbona tafuta sana bado kuiona naipataje hiyo kiongozi?
 
You Version ni application nzuri ya kujua neno la Mungu Biblia,hapo hutakutana na Biblia matoleo mbali mbali ya kiingereza (KJV) pia hata kiswahili(SUV) pia kuna Biblia habari njema (BHN).Pia ina somo la leo,ambalo utapata maandiko mapya ya kutafakali kila leo na inakuwa nzuri kama ukijisajili maana utakutana na wapendwa wengine mkitafakari na kujadili neno la Mungu.
 
Wakuu tuambizane katika experience ya apps zipi ambazo unaona bila hizo huwezi kuona thamani ya simu yako...

Mi naanza na mobdro app noma sana
Unaipataje mobdro? Nimeitafuta mobdro kwenye playstore na sijaiona.
Natumia Sumsung S7 android v.6.
 
Back
Top Bottom