d tarimo
JF-Expert Member
- Jul 23, 2015
- 918
- 515
Naomba kuuliza wakuu nitumie launcher ipi ktk tecno y6 yangu samahani kwa usumbufu.
arrow lunch iko powa sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba kuuliza wakuu nitumie launcher ipi ktk tecno y6 yangu samahani kwa usumbufu.
Download framaroot au kingroot mkuuMambo vipi mkuu!
Aisee naomba unisaidie maelekezo ya kuroot kasimu kangu bila kutumia kompyuta. Ni tecno w4 ina Android 6.0.
Pia naomba nikaribishe na mawazo ya wakuu wengine Hans Pol, kcamp, kun jr, n.k.
Ahsante
OK, ahsante mkuuDownload framaroot au kingroot mkuu
Mkuu angalia screenshots za y6 yanguNaomba kuuliza wakuu nitumie launcher ipi ktk tecno y6 yangu samahani kwa usumbufu.
Naomba kuuliza wakuu nitumie launcher ipi ktk tecno y6 yangu samahani kwa usumbufu.
Hiyo ni Launcher gani mkuuMkuu angalia screenshots za y6 yangu
View attachment 346565View attachment 346566View attachment 346567View attachment 346568View attachment 346569
Inaitwa next 3d launcher mkuuHiyo ni Launcher gani mkuu
King root imegoma Mkuu.OK, ahsante mkuu
Mimi naomba unisaidie jinsi ya kuroot tecno w4 bila kutumia kompyuta, maana nimejaribu kutumia king root inaishia Kama inavoonekana kwenye picha apa chini, imekuwa apo kwa mda wa masaa mawili aisee!!!!!!!???kwa wanaotaka kula movie series na mengine mengi [emoji1427][emoji1427][emoji1427]
Download hapa
feedback plz
ImekwambiajeKing root imegoma Mkuu.
Lakini mkuu hiyo si inalipiwa au umeifanyaje mpaka ifanye kazi mana mi nilikua nayo ila inatoa siku kadhaa then inakuwa normal mpaka u upgradeInaitwa next 3d launcher mkuu
Lakini mkuu hiyo si inalipiwa au umeifanyaje mpaka ifanye kazi mana mi nilikua nayo ila inatoa siku kadhaa then inakuwa normal mpaka u upgrade
Mbon bila root inafaa tumia aptoideSimu ikiwa rooted unatumia app nyigi 2 za kulipia free mandela, hivo simu ya jamaa ame root
Umeonaaaa ya mzigo una kuwa two in one mzee, halafu pc inakuwa fasta upande phoenix os...chiefmkwawa ushukuriwe sana kiogozi nimfanikiwa kuweka android verson kwa pc ipo bomba sema nimegundua baadhi ya apk hazifanyi kazi kama vile mx player mobro tv na kodi but vingine fresh hapa nime share wifi na kisimu changu nakula mambo very smooth![]()
![]()
Acha kabisa kaka yaani full raha nimeweka iptv zangu nakula raha tuuu.two in one.application nimezidownload kwenye simu then nika send through xender apk nimeweka apk zote zilizokuwa kwa simu yangu.ningefurahu zaidi kam mobdro ingekubalii.Umeonaaaa ya mzigo una kuwa two in one mzee, halafu pc inakuwa fasta upande phoenix os...
Hata mimi napata hilo tatizo mkuu nahisi bado hamna version ya kingroot inayo faa kwa android 6.0Mimi naomba unisaidie jinsi ya kuroot tecno w4 bila kutumia kompyuta, maana nimejaribu kutumia king root inaishia Kama inavoonekana kwenye picha apa chini, imekuwa apo kwa mda wa masaa mawili aisee!!!!!!!???
Labda tu imeamua kuwa na bifu na wewe