donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Hii hapa mkuu:Basi fanya kutupia link mkuu mana mi niliyonayo ipo limited
Next Launcher 3D Shell Full Apk 3.7.3.1 build 160 + Widgets + Themes
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii hapa mkuu:Basi fanya kutupia link mkuu mana mi niliyonayo ipo limited
Sidhani kama ni Kali kuliko next 3d launcherTafuta Nova laucher
Kwa kutumia computer au laptop sio App.App gani
NafanyajeKwa kutumia computer au laptop sio App.
Shukrani mkuu kitu iko full
Pamoja mkuuShukrani mkuu kitu iko full
Avg antivirus proNaomba kujuzwa app ambayo MTU akijaribu Ku lock simu. Simu iwe inampga picha
Avg antivirus pro
Tafuta App inaitwa Cm security ndio itaweza kufanya hivyo. Ukisha i dawnload nenda kwenye setting lock app zako ambazo hutaki zifunguliwe. Na uweke ON mtu akikosea mara ngapi impige picha (simu iwe na front camera).Mkuu naset vp ili MTU akiigiza wrong passward image pcha
Unayo pro version tayari? Kuna sehemu ya kuset camera trapMkuu naset vp ili MTU akiigiza wrong passward image pcha
Busy box, lucky patcher na build prop editor..... Vitu adimu hiviHiviii busy box kaziii yakee nn