Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Naombeni msaada nawezaje kuona video za kwenye simu kupitia deck ya dvd
Deki nyingi za dvd hasa singsang hazichez mp4. Hivyo itakulazimu u convert kutoka mp4 to AVI au MPEG kisha kama ni memory iweke kwenye card reader, au kama una flash itakuwa vizuri zaidi.
NB: kama una king'amuzi cha azam au baadhi flat screen waweza angalia video za kudawnload bila shida kwa kutumia usb port zilizo kwenye kifaa husika.
 
Asante mkuu kwa maelezo yako ngoja nifanye kama ulivyo nielekeza
 
Naombeni msaada simu imetaka update nimeupdate baada ya kumaliza nikifungua Instagram inaniandikia unfortunately Instagram stop ndani ya sekunde 3 tu baada ya kufungua.
 
Back
Top Bottom