Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Mkuu unaonaje huo muda unaotumia kuangalia playboy TV kwann uciutumie angalau kufungua kurasa za vitabu ama kutafuta info mbalimbali za huu ulimwengu unavyoenda ukaongeza maarifa?

Chunga sana unacholisha ubongo wako bro

Nb: maneno yangu CIO sheria
Huu mda unaoandika hapa jf ungekuwa unatumia kulima shamba lako ungekuwa mbali.
 
Kwangu.. barcode scanner najiridhisha kuangalia kitu original or fake kutumia namba au logo yake.
 
Inapiga picture kisha inasearch then inakupa kiwanda iliyotengenezwa hiyo bidhaa..
 
Samahani wandugu naomba msaada namna ya kupakuwa nyimbo kutoka u-tube maana mie huwa naishia kutizama tu sijui jinsi ya kupakuwa kutoka huko na nikiangalia sioni sehemu ya kupakua kutoka huko
 
Nisaidieni namna ya kuinstall need for speed most wanted 2012 kwenye window 8 pc. Kila nikijaribu naletewa error. Yaani mpaka inaboa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…