Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Samahani wandugu naomba msaada namna ya kupakuwa nyimbo kutoka u-tube maana mie huwa naishia kutizama tu sijui jinsi ya kupakuwa kutoka huko na nikiangalia sioni sehemu ya kupakua kutoka huko
kwa juu huwa kuna mshale wa kijani unaoelekea chini uclick ..ukifanya hivyo itakuja aina ya picha/video resolution ambayo unataka... chini yake ule mshale wa kijani utakuwepo utauclick then itaanza kudownload
 
Samahani wandugu naomba msaada namna ya kupakuwa nyimbo kutoka u-tube maana mie huwa naishia kutizama tu sijui jinsi ya kupakuwa kutoka huko na nikiangalia sioni sehemu ya kupakua kutoka huko
Ndio wadau wanatoa ushauri tumia hizi app
Videoder
Tubemate
Vidmate
Snaptube na zinginezo lkn hazipo play store nenda google uzi dawnload.
 
Samahani wandugu naomba msaada namna ya kupakuwa nyimbo kutoka u-tube maana mie huwa naishia kutizama tu sijui jinsi ya kupakuwa kutoka huko na nikiangalia sioni sehemu ya kupakua kutoka huko
Download tubemater
 
Msaada jinsi ya kuinstall call of Duty black ops 2 maana nikiifungua inakuwa black halafu inaonekana unhandled exception error
 
Natafuta app itakayoniwezesha kustream movies online au kudownload....natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom