Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,963
- 13,287
Laptop ram 2 gbUnatumia pc gan? Driver, direct x, na Redistributable Package zipo sawa? Na hilo game liko Okey?
Ilikuwa zamani kwa sasa sidhaniiJaman hv kunauwezekan watu tukawa tuna tuma sms free bila kuchargiwa ?kama ipo njia tupeyane maujanja
Kitonga ndio nnJamani naomba kitonga ya bando,maana hapa kitu mabrob ni noma nimeshaunganisha kwenye big screen.na kitonga ya app za kulipia, najua jf ni noma nimepata mengi sana humu ndani.
Ana maanisha anataka vya bure mzee...Kitonga ndio nn
Hahaha haya kakaAna maanisha anataka vya bure mzee...
Ipo badoNw imefungiwa Danya..
Hiyo nadhani bado haijafika kwa wadau yaani haijapatikanawakuu mwenye link ya ZBC naomba anipatie
unacconect vip
WiFi MAP
Hii app inapatikana Playstore..
Ni nzuri sana..
Inaonyesha wireless zilizo near or far na wewe.. Na kama ina password inaonyesha na password ya hiyo Wireless...
Note.. : sio wireless zote zinaonekana kwenye hapa....
Mfano nili try hii ya unaweza kuona hapa chini.
Ya chuo kimoja hapa mjini.
It's very good App..
Note: do at ur own risk..
Utamu umerudi wale wazee wa hustle tv na playboy tv zile tv pendwa zimerudiii mambo[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] yetu yaleee
Mkuu kama unataka kwenye laptop uweze kuweka application za simu nenda google tafuta sotware inaitwa phoenix.link ya hii software ipo humu kwenye hii threads alileta chief mkwawa.kuhusu kwenye simu kwenda kwenye tv hakikisha tv yako ni smart ili uweze kushare na mirroring pia simu yako iwe na hiyo mirroring pia kwa njia nyengene kama tv yako sio smart lakini ina usb na hdmi inafaa ila itatakiwa uwe na simu yenye uwezo wa mhl to hdmi ili kusupport hiyo kitu.Mkuu kibajajitz,
Naomba unijuze jinsi ambavyo umeweza unga MOBDRO ya kwenye simu kwenye laptop? au jinsi unavyoweza kuunga kwenye Samsung tv series 4, I mean nitumie kiunganisho gani? NITASHUKURU sana mkuu
mkuu kam unaweza weka hizo link weka.. tu maana huku playstore naona km znakuja nyng zinanichanganya .. na logo yake km vp tupiaMkuu kama unataka kwenye laptop uweze kuweka application za simu nenda google playstore tafuta sotware inaitwa phoenix.link ya hii software ipo humu kwenye hii threads alileta chief mkwawa.kuhusu kwenye simu kwenda kwenye tv hakikisha tv yako ni smart ili uweze kushare na mirroring pia simu yako iwe na hiyo mirroring pia kwa njia nyengene kama tv yako sio smart lakini ina usb na hdmi inafaa ila itatakiwa uwe na simu yenye uwezo wa mhl to hdmi ili kusupport hiyo kitu.
Duuuh sio google playstore ni Google kabisa.sorry wakuu.hii ni una install kwa laptop then waweza weka apk zote za android bila shida.mkuu kam unaweza weka hizo link weka.. tu maana huku playstore naona km znakuja nyng zinanichanganya .. na logo yake km vp tupia