Hizi kwangu ndio kila kitu"
Insta Snapchat Twitter Na Tapatalk (Jf) hizo kama social media.
Whatsapp Hangout for sms conver
Zedge Kupata Wallpaper kali HD na ringtons.
Befunky kuedit pic na Photogrid kuresize photo kwa ajil ya Whatsapp dp and Instagram.
Poweramp kwa ajili ya music inanguvu sana.
MusixMatch for lyrics ukiplay music inadowload lyrics automatic
Videoder kudownload Videos mpaka mp3 direct from Youtube.
Opera as browser
Mkuu eka bac link tuinjoy sieMX player pro hii ni baba lao upande wa video player
Tapatalk pia utaenjoy forums kibao tu ..mfano jf natumia Tapatalk
Ookla speed test
Hii kwaajil ya kuchek Internet speed ya mtandao wangu kwa eneo nililopo
Instagram plus..hii ni nuksi sana unaweza download videos na image za instagram kiurahis pia unaweza kuzoom picha ukiwa instagram na features kibao
Es file explore ni bonge la file manager
Snaptube kwaajili ya kushusha videos kutoka YouTube
Tubemate isiyo na adds na yenye material design
Light TubeMate 2.2.6.650 apk Modded AdFree Material Design.apk
Mobodro kwaajili ya kuenjoy tv stations za kijanja
Yani mbona apps zipo nyingi tu
Nikipata mda ntaweka link za apps zote kari tena premium zile.
Asante ila si dhani kama inaikuta apps moja matata sana inaitwa tomaboTubemate isiyo na adds na yenye material design kwajili ya kishusha YouTube videos
Light TubeMate 2.2.6.650 apk Modded AdFree Material Design.apk
Mkuu sijaelewa hapa apps kama hii watawekaje playstore acha kupotosha jamii kuonekana uko makini tuwekee link
WiFi MAP
Hii app inapatikana Playstore..
Ni nzuri sana..
Inaonyesha wireless zilizo near or far na wewe.. Na kama ina password inaonyesha na password ya hiyo Wireless...
Note.. : sio wireless zote zinaonekana kwenye hapa....
Mfano nili try hii ya unaweza kuona hapa chini.
Ya chuo kimoja hapa mjini.
It's very good App..
Note: do at ur own risk..
Tumia halotel utafurahi na roho yako apa naangalia sky news haija kwama ata mara mojaUnatimia internet ya mtandao gani ...maana mm INA gomagoma
Mkuu hii nimeicheki ila inakula specs sana na ukiweka data inakula sana
Dumpster
Hii ni application ambayo inafanya kazi kama recycle bin kwenye your mac, linux or windows desktop computers..
Je uli dele kitu kwa bahati mbaya bila kukusudia..
Uki delete utavikuta kwenye Dumpster..
Uki delete images, videos , audio, pdf, zip, mp3, mp4, ppt, doc, avi, mpg, jpg, rar etc...
Ukiingia kwenye Dumpster utakuta kile kitu ulicho delete na ku recovery..
Hii App haiitaji rooting access wala Internet..
Sometimes naweza kusema inafanya kazi kama backup App.
Why?
Kwa sababu unaweza kufanya kama ndo privacy App ya kuficha vitu vyako.. Uka videlete vitu makusudi then vikawa vinakaa huko.. Ukivihitaji una recover tuu.
Unaweza kudownload Dumpster kutoka playstore..
Dumpster _ The freedom to make mistakes
Hii kitu sikubali kabisaaRoot your phone
Kwanini Mkuu?Hii kitu sikubali kabisaa
Tomabo ina nn kikubwa? Weka features mkuu..Asante ila si dhani kama inaikuta apps moja matata sana inaitwa tomabo
Thank you
TinyTunes
Very Good App
Unataka kudownload nyimbo especially nyimbo za mbele..
utaona
ITune Top songs
ITune new released
ITune Top Albums
Billboards 100 etc.
Pia unaweza kuona sehemu ya search, una search nyimbo unayo taka then utaona sehemu ya play
So unaweza kuplay wimbo bila kuudownload ukisha jua ndo wimbo unaoutaka then una Download..
It's very good App.. Binafsi sijawahi kukosa nyimbo kwenye hii app hadi nikitaka album hapa naipata..
Note.. Nyimbo za Bongo zinapatikana bt sio zote..
Hii App haipo playstore..
U can download here
http://goo.gl/NK9IlW :
Ipo playstore. Unaweza hakikishaMkuu sijaelewa hapa apps kama hii watawekaje playstore acha kupotosha jamii kuonekana uko makini tuwekee link
Mkuu inapatika market gani mkuuMkuu hii nimeicheki ila inakula specs sana na ukiweka data inakula sana
Blackmart kwa rooted Android. Hiii app inakusaidia kupata app zooote za play store zinazouzwa bure. Haipatikani Google play. I search kwenye search engines