Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Ok mkuu ko unapo install inaanza upya au unaendelea na zile chat za zamani ulikuanazo nazungumzia zile threads
Noo, hii ni waatsaap nyingine so inamaana utakua na watsaap mbili, ya zaman na hii gbwatsaap
 
Msaada wa App inayonieezesha kupata meseji na calls zote za mtu kwenye simu yangu
 
Hatubishani, ila ninachosema nakijua, natumia Tecno L8 na nimekuwa nabadilisha font, nikiichoka naitoa inabaki ya asili, kumbuka "unapo restore simu unairudisha kwenye mpangilio wa kiwandani"
nilirestore simu lakini font iliobaki kwenye simu yangu ni ile niliokua naitumia mara ya mwisho. Ile iliokuja na simu kabla sijabadili iligoma
 
JAMANI MBONA MSAADA WA APP ITAYOWEZA KU TRACK SMS NA CALLS ZOTE ZA WATU WANGU KATKA PHONE YANGU SIPEWI WADAU MWISHO NAPEWA MINANGO TU! MAPIGO YA MOYO KWA NI CONSTANT DIFFERENTIATED SO JUST GIMME THAT APP
 
Nilichokipenda kwenye GBWHATSAPP
Kutuma picha 99 kwa mara moja
Theme design
Toast notification ya friend akiwa online
Privacy hide last seen
Inatumia memory ndogo ya simu

Kiukwel ukiingia kwenye gbwhatsapp hutatoka.

Use the 24.15mb button

GBWAv4.81.apk
 
Nime i download hii whatsapp ila nina ile whatsapp ya zamani vp nifanyeje ili nianze kuitumia make saiv zimo whatsapp mbili
 
Hiyo ya gbwhatsapp unaweza sajil namba nyingine. Kama hutak unaweza kuisajili namba yako kwenye gbwhatsapp, ile whatsapp ya zaman ita collapse so utatumia gbwhatsapp
 
JAMANI MBONA MSAADA WA APP ITAYOWEZA KU TRACK SMS NA CALLS ZOTE ZA WATU WANGU KATKA PHONE YANGU SIPEWI WADAU MWISHO NAPEWA MINANGO TU! MAPIGO YA MOYO KWA NI CONSTANT DIFFERENTIATED SO JUST GIMME THAT APP
unamaanisha unataka uwe unamspy mtu au...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…