Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Aisee msaada kidogo nilikua nayo hiyo app nikarest simu baada ya ku download upya keepsafe na ku login kwa email yangu inakataa nifanye vipi hapo?
 
Wadau, mimi natumia Microsoft Lumia 650. Nitapataje JF android? Natumia web kama vile natumia kompyuta.

Vv
 
Hata mimi naomba unielekeze best appilication ya masuala ya geography ama historia. Ila kwangu best appliacation ni gb whatsapp, pocket, google crome, beauty plus camera
gb whatsapp ipi maana nililetewa nyingi .... ikiwezekana naomba link mkuu
 
Luncher gani nzuri katika simu? Natumia tecno j8 na je hazina madhara let's say inaharibu performance ya simu au kuwa nzito.?
 
Kuna mtu alishaur app ya instagram plus .... kule play store haipo .... pana app nyingi za intagram but sio hiyo .... mwenye link yake naomba
 
nimedownload mobodro ila sipati channels nifanye nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…